
May 8, 2017 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anaongoza waombolezaji waliokusanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha kuomboleza vifo vya wanafunzi zaidi ya 30 wa Lucky Vicent waliofariki katika ajali ya gari baada ya basi walilokuwa wanasafiria kutumbika kwenye korongo.
Unaweza kufuatilia LIVE hapa kwa
kubonyeza play…
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.